Somo la pili forex

HOW RISKY IS FOREX TRADING!?

Hauwezi kupoteza zaidi ya mtaji wako. Kama utaanza na $100 basi haitatokea umepoteza $200. Mtaji wako unaoanza nao unaitwa MARGIN. Faida utakayotengeneza haina ukomo, lakini hauwezi kupoteza zaidi ya MARGIN yako. Unashauriwa kwa nguvu zote “KAMWE USIRISK ZAIDI YA AMBACHO HAUWEZI KUKIPOTEZA “

HOW DO YOU START TRADING!? 

Ukiwa umeshapata elimu ya kutosha na ukawa ushafanya maamuzi ya kutosha kuwa upo tayari kutrade, Ni lazima Ujisajili kwa broker ambaye unaona utendaji wake wa kazi unakuridhisha na kisha utadeposit kiasi ambacho ungependa kiwe ni Margin yako katika kutrade. Njia za kudeposit ni tofauti inaweza ikawa kupitia Card ya benki, paypal, Netteler, Skrill na Mobile money kama Mpesa ambazo kwa sasa broker wengi wamezileta ukanda huu wa Afrika Mashariki.

HOW DO YOU MONITOR YOUR FOREX TRADING!?

Online, mahali popote, mda wowote. Una full control ya kumonitor tradings zako, kuangalia mabadiliko, kubadilisha baadhi ya maamuzi kama kubadili ukomo wa hasara (Stop Loss) na target ya faida (Take profit), Kufunga trades au kuwithdraw faida.

SPREADS 

 
Tofauti kati ya kuuza na kununua. Au kwa namna nyingine tunasema tofauti ya bei ya market maker kuuza kwa clients wake au tofauti ya market maker kununua kwa clients wake.

Mfano ukaweka oda mbili kwa wakati mmoja kuuza na kununua katika soko zote zitakuwa kwenye hasara kwa muda. Tofauti hio ambayo inaonesha hasara ndio tunaita SPREAD. Hiki ni moja ya kitu cha msingi sana cha kuzingatia unavyotaka kuchagua broker wa kua chini yake. Broker wengi wanafanya manipulation kwenye eneo hili.

Broker ambaye mimi binafsi namtumia na pia namuamini ni FBS.
Click kwenye link hapa chini kujisajili.  FBS Broker





TRADING 

Baada ya stori zote hapo juu tuje ndani sasa. Unawezaje kuanza kutrade. Kuna maswali lazima utajiuliza; kwanini nibuy!? Kwanini ni Sell!? Mda gani wa kusell!? Mda gani wa kubuy!? Nikiona nini natakiwa kubuy!? Nikiona nini natakiwa kusell? 

Jibu linakuja ni ANALYSIS? Huwezi kufanya maamuzi yoyote yale kama hujawafanya uchambuzi kujua picha au taswira ya pair fulani.

Comments