Lotsize zimegawanyika katika makundi matatu ambayo ni
1. Standard lotsize
2. Medium Lotsize
3. Micro lotsize
1. STANDARD LOTSIZE
100000/100000= 1
1.00 lotsize= 1 pip = $10
Hivyo pip moja ikimove kwenye soko ina thamani ya $10 ukitumia 1.00 lotsize
2. MEDIUM LOTSIZE
10000/100000= 0.1
0.10 lotsize = 1 pip = $1
Hivyo pip moja ikimove kwenye somo ina thamani ya $1 ukitumia 0.10 lotsize
3. MICRO LOTSIZE
1000/100000= 0.01
0.01 lotsize= 1 pip = 10cent
Hivyo pip moja ikimove kwenye soko ina thamani ya cent kumi 10cent za kimarekani ukitumia 0.01
Hivyo watu watatu ambao wamepata pips 20 kwenye soko. Kwa kutumia lotsize tofauti hupata hivi;
1. 1.00= 20pips x $10= $200
2. 0.10=20pips x $1 = $20
3. 0.01= 20pips x 10cent= 200cent au $2
Iwe ni faida au hasara
Ili uweze kutumia standard lotsize unashauriwa mtaji wako usiwe chini zaidi ya $10000
Ili uweze kutumia medium lotsize unashauriwa mtaji wako usiwe chini zaidi ya $1000
Na ili mitaji yote chini ya $1000 utatumia micro lotsize. Nitakuja kufafanua zaidi hili siku zijazo 🙏🏼
Comments
Post a Comment