TRENDLINE
Hii ni support au Resistance kulingana na trend ya chati husika.
Pindi kukiwa na trend ya kwenda juu trendline huwa chini kama support ya hio trend ili kila inapokaribia line hio price iwe supported kwenda juu.
Na pindi kukiwa na trend ya kwenda chini trendline huwa juu kama Resistance ya kuzuia price isivuke mstari huo na kuresist ili iendelee kwenda chini
CHANNEL
Chaneli kwa lugha ya kiswahili ni Mkondo. Tafsiri yake ni kupita katika kizuizi au wigo fulani bila kutoka. Kwenye market inaweza ikatokea halii hii. Mfano ukiangalia video ya analysis niliopost jana utaona hali hii kwenye pair ya GBPCAD Weekly!
Channel inaweza ikawa ya kupanda au kushuka.



Comments
Post a Comment