Forex market ni soko kubwa na ambalo linakua kwa kasi duniani. Mzunguko wake wa siku ni zaidi ya dola trillion tano ($5 Trillion) za kimarekani. Participants kwenye soko hili ni benki kuu na mabenki ya kibiashara, Corporations, institutional investors, Hedge funds na watu wa kawaida kama wewe.
WHAT HAPPENS IN THE MARKET!?
Soko ni sehemu ambalo bidhaa zinauzwa. Pia hata kwenye Forex, bidhaa ni sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua Euro baina ya dolla ya marekani, Au ukauza Japanese Yen dhidi ya Dolla ya Canada. Ni ujumla wa kutrade sarafu moja dhidi ya sarafu nyingine.
LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.
Uwiano wa uwekezaji dhidi ya thamani halisi hii ndio inaitwa LEVERAGE. Kutumia $1000 kufanya trade yenye thamani ya $100000 hii ndio Leverage ambayo ni sawa na 1:100. $1000 ndio pekee ambayo unaiweka kwenye risk, lakini faida utayoipata ni mara nyingi zaidi ya kiasi ulichorisk.
HOW DOES ONE PROFIT IN THE FOREX MARKET!?
Kifupi ni kwa kununua chini na kuuza juu 😄. Upatikanaji wa faida unakuja kulingana na mabadiliko ya thamani ya bei iwe chini kwenda juu au juu kwenda chini. Tofauti na masoko ya hisa ambapo share inanunuliwa ili tu iende juu. Pia Forex haihitaji kuwepo physical ili kufanya trades.
Comments
Post a Comment